FASHION TANZANIA: ANGALIA NAMNA PENNY ANVYOFUNGA VIREMBA VYAKE PART IV
- 04:32
- by
- Unknown
Mimi mpenda viremba!
leo nimekuletea mpenda viremba mwenzangu ,hii nimeitoa kwa shamim na nikaona si vibaya kuangalia wote.
penny kila mtu anamjua na mara nyingi tumemuona akiwa katika style mbalimbali so si vibaya tukachukua style ya viremba kwa leo kwa sababu na sisi tuna kasegment chetu cha kujifunza kufunga viremba.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment