FASHION: MISHONO YA KUSHONA KITENGE PART I
- 03:51
- by
- Unknown
MISHONO YA KITENGE
Mara nyingi watu kama sisi wembamba upande tu wa kitenge ambao ni wa mita 1 na robo au nusu huwa unatutosha, though problem inakuja unashonaje?
hivi vinagauni viwili vya vitenge nimekuwekea, unaweza kwanza kushona kwa upande tu wa kitenge bila madoido yeyote na pia si tu utavaa kazini lakini pia hata kwenye sherehe yeyote unaweza vaa.
na hito ya blue unaweza ukanunua kitambaa cha valentino au hata morocco kinakaa vizuri sana.
Haya Enjoy.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment