BEAUTY: JINSI YA KUSAFISHA USO WAKO KUTUMIA MBINU ZA ASILI & USHAURI KUHUSU USO
- 22:38
- by
- Unknown
Hallo Dolls!
habari za asubuhi na jumatano!
natumaini kila mmoja ameamka vizuri kabisa kama mimi nilivyo.
nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusiana na jinsi ya kuondoa chunusi na jinsi ya kufanya sura ionekane nzuri na ya kuteleza, nachotaka kuongelea leo kuhusu kusafisha sura.
hiki ni kitu ambacho hata mimi mwenyewe binafsi nazingatia sana na nimeona kikifanya kazi.
kuna siku moja nilikuwa na project ya kupiga picha tukawa tuko na makeup dools walekabla ya kuanza kunipamba akaangalia sura yangu na kuanza kunisema kuwa siijali,kwa kweli i felt bad as girl and a woman kuwa why this gal said that so i need to change.
hapo ndi[po nilipoanza kutafuta njia za asili coz as my black skin naogopa sana njia za chechemicals.
leo nakupa njia mbili.
- kunawa uso kabla ya kulala na baada ya kuamka na maji safi na salama,
- safish uso kwa chumvi (scrub)
Hii haimaanishi usitumie lotion au mafuta no endelea kutumia kama kawaida na wakati mwingine ukiona sura yako inashindwa kureact na chochote unachopaka chukua kama wiki mbili acha chochote unachopaka kisha nenda kamuone daktari.
niwatakie jumatano njema.
XOXO
Fiabright
0 comments:
Post a Comment