BEAUTY: ANGALIA RANGI NZURI ZA KUCHA ZITAKAZO FANYA UONEKANE NA KILA MTU
- 01:11
- by
- Unknown
Saturday!
what a georges day for us fashion lovers!
tunatakaga kupita sehemu na kuangalia what is in town kama kariakoo au mwenge but mostly pia ni muda hata wa kutengeneza kucha maana jumapili ni siku ya uvivu either uende kanisani wa kanisani au kupumzika tu the all day!
here am nimekuwekea sample za rangi ambazo zitafanya week yako iwe ya kuvutia kila ukijiangalia mikono yako.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment