RANGI 3 NZURI ZA HARUSI
- 03:28
- by
- Unknown
hallow wapendwa!
Ukija kwenye swala la harusi swala la kuchagua rangi huwa ni zito kwa watu wengi hasa wanaume nakumbuka wakati kaka yangu anaoa mimi ndio nilikuwa dada mkubwa na swala la kuchagua rangi nikakabidhiwa mimi.
kwa wakati ule nilichokifanya niliangalia kwanza rangi ya mwaka na pia kuangalia inayoendana nayo so ilikuwa ni kazi rahisi sana lakini sasa hivi naona watu wengi hawaangaliii tena rangi ya mwaka tena ukizingatia mwaka huu rangi yake ni ngumu sana ni masara loh ambayo inataka kwenda na maruni ,,,basi mimi katika pitapita zangu nikapata hizi rangi tatu nzuri na ni rahisi kupata pia embu ziangalia.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment