LOOKBOOK: PEPLUM KITENGEZ
- 01:49
- by
- Unknown
Haloo Dolls!
Habari za asubuhi, crush yangu ya leo ni hii collection kwa kweli loh i can admit this collection is one you should try!
cha kufanya ni pale unapokuwa na kitenge unachukua picha na kumpelekea fundi anafanya yake na wewe unawaka, haya mimi zikiwa tayari ntashare na kukuonyesha how it works.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment