FASHION: JIFUNZE KUFUNGA KIREMBA PART III
- 02:42
- by
- Unknown
Its Alhamisi!
Incase ulikosa post zangu zote za kujifunza kufunga kiremba hujachelewa ndio kwanza niko part III,
Thats means, kuna zaidi na zaidi.
na pia unaweza search kwenye blog na ukapata zote part one and two.
Haya hiki kilemba cha leo mbona balaa hii na unaweza funga kwenye occasion gani?
Sasa hilo nikuachie wewe maana,mimi ntakujibu weekends kwenye occasions tofauti.



0 comments:
Post a Comment