Hello,This is me!

FIABRIGHT

An Entrepreneur Lady Professional Business Coaching Professional in marketer

Wednesday, 2 December 2015

FASHION HOUSE: JINSI YA KUPAMBA NYUMBA YAKO PART II

Jumatano njema kwa wale wote wanawake majasiri ambao kila ya leo wanatafuta kuwa bora na mfano wa kuigwa.
moja ya sifa nzuri ya nyumba ni mpangilio mzuri,
PART I nilikuwekea rangi tofauti tofauti mabzo unaweza weka ndani ya nyumba na zikafanya nyumba ipendeze.
leo katika kupita moja ya website zinazonivutia ya Tamera, na anapenda sana kuongelea maswala ya nyumba.
Leo nimeona hii ya mito, ni vizuri kuweka mito inapendezesha na pia inakupa radha ya kuona kuwa kuna mabadiliko na yanayopendeza.
pia hiyo ni priny tofauti ambayo pia unaweza weka hata kitenge kwa sisi waafrika.
haya kazi kwako kujaribu na kubadilisha nyumba yako.
XOXO
Fiabright.

home decor tips

An entrepreneur lady, business coaching for small business and start up, marketer, creative director and C.E.O at fiabright digital and marketing limited.

0 comments:

Post a Comment

FIA BRIGHT
fideabright10@gmail.com
Dar es salaam, Tanzania

SEND ME A MESSAGE