FASHION ZA UGHAIBUNI: Kendall Jenner, Gigi Hadid, & All The Angels That Rocked The Victoria’s Secret Fashion Show!
- 01:42
- by
- Unknown
Victoria secrets fashion show
hii ni show namba moja kwangu ambayo huwa naisubiria, ilinitekaga akili yangu tokea nikiwa chuo.
na nilikuwa napenda kuiangalia kwneye FASHION TV .Basi ikawa inanipa hamasa ya kuisubiria kila mwaka na what a fun huwa once per year.
mwaka huu imekuwa ya tofauti kidogo kutokana na models wapya ambao sio wengine rather than KENDALL JENNER na GIGI.
Nimekuwekea uone jinsi gani hii show huwa inateka ulimwengu wote na kikubwa ni bidhaa wanazo uza victoria secret wana bidhaa za ndani nzuri na zenye ubora wake.
kwa kweli kila kitu huwa kinakuwa magical kwenye hii show, models wanakuwa happy unaona kabisa wameandaliwa na wana mood.
ooh i love this show acha,
unaweza ukaangalia kwenye FASHION TV kama unatumia dstv.startimes unakuta hizo channel.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment