Hello,This is me!

FIABRIGHT

An Entrepreneur Lady Professional Business Coaching Professional in marketer

Friday, 13 November 2015

ORIFLAME PRODUCT: JUA TOFAUTI YA LIPSTICK NA LIPOGLOSS

Mimi Fidea ni member wa ORIFLAME products.
Najua unaweza ukashangaa inakuwaje one post ago nilisema natumia IMAN COSMESTICS na leo nasema ORIFLAME.
Hakuna kitu kizuri kama kutumia natural products hasa hasa kwenye ngozi na mwili wako kwa ujumla, kwasababu hiyo niliingia oriflame ili nipate nafasi ya kupata bidhaa zenye ubora na za asili.
nimepita kwenye website ya oriflame na kule wanafundisha mambo kadhaa na nimeamua kukuibia kidogo na wewe upate kujifunza.
Leo ngoja tuanze kujua tofauti kati ya lipstick na lipgloss maana ni vitu ambavyo vinachanganya kwa kweli:
What is the difference between liquid lipstick and lip gloss?
–A lip gloss always gives shine to your lips. That’s the whole point of gloss. A liquid lipstick gives your lips pigment but not always shine. It can just create a beautiful moisturising feel. 
for that sometimes u can use both at the same time lipstick and add lipgloss.

 Na pia kwa mawasiliano zaidi unaweza nitafuta whatapp +255 658 018 901 ili uweze kupata bidhaa hasa hasa lipstick na pia kujiunga na wewe ukapata nafasi ya kuendesha maisha yako kwa kupitia biashara ya mtandao.
XOXO
Fiabright.

Anonymous

An entrepreneur lady, business coaching for small business and start up, marketer, creative director and C.E.O at fiabright digital and marketing limited.

0 comments:

Post a Comment

FIA BRIGHT
fideabright10@gmail.com
Dar es salaam, Tanzania

SEND ME A MESSAGE