Hello,This is me!

FIABRIGHT

An Entrepreneur Lady Professional Business Coaching Professional in marketer

Sunday, 1 November 2015

MAKEUP> JIFUNZE KUPATA WANJA KWENYE EYEBROWS


how to draw eyebrows  
Happy Sunday!
tunashukuru tena jumapili inaelekea kumalizika,na eekend kwangu ilikuwa nzuri sana na nimekuwa karibu na watu ninaowapenda kama familia na marafiki.
nimetamani kushare na wewe na tukiendeklea kujifunza kuhusu maswala ya urembo.
nachopenda ni kujaribu kutumia hela kidogo kwenye maswala ya urembo kwa maana tujifunze vitu vingi kufanya wenyewe.
haya tule wote vizuri jumapili njema.
XOXO
Fiabright.

LA-Girl-Pro-Conceal-HD-Concealer-Fawn-600x400
hii inaitwa conceal unapaka baada ya kuchora wanja wako unachotakiwa kuwa nayo ni set ya brush ili iweze kuwa rahisi kupata hiyo na sio lazima kutumia ule wanja watu wengi wanaita wa lulu hata wanja wa kawaida unaweza tumia kama huo niokuwekea hapo chini.
eyelash-disposable-mascara-wand-brush-spoolies-x50

haya endelea kufurahia mafundisho haya ya makeup kwa kuangalia picha zaidi.
mimi mwenyewe personal najifunza,basi naendelea kukupa molari ya kujifunza pia. 

how to draw brows
Anonymous

An entrepreneur lady, business coaching for small business and start up, marketer, creative director and C.E.O at fiabright digital and marketing limited.

0 comments:

Post a Comment

FIA BRIGHT
fideabright10@gmail.com
Dar es salaam, Tanzania

SEND ME A MESSAGE