LOOKBOOK:NIME THROWBACK STYLE ZANGU MWAKA 2014
- 03:58
- by
- Unknown
This day ilikuwa siku ya ufunguzi wa kombe la dunia,wakati nikiwa DSTV
tulitakiwa kuvaa tshirt so i just put suspender kunogesha the look.
hii flash back ilikuwa ni nywele yangu ya fiabrighthair, na hizo ni baadhi ya looks nilizokuwa natoka nazo kwa kweli i like both.
hii ilikuwa wakti nafanya kipindi na nina tv yangu ya online, kwa kweli sitaki hii ndoto ipotee kabisa am coming back very soon.
0 comments:
Post a Comment