GIRLSTALKCORNER: WHAT MAKES WOMEN MORE ATTRACTIVE?
- 04:38
- by
- Unknown
Hallo Dolls!
habari za mchana, haya katika pitapita zangu za kujifunza mambo yangu ya siku nikakutana na hii, as u know am not that good in relationship status or advice lakini macho yangu hayasiti kusimama pale napokutana na ushauri wa kuhusu mwanamke.
huu inamaanishi tu ufanye hivi ili mwanaume akupende no! no! bali ni wewe mwenyewe kuwa na muonekano mzuri wa kiuanawake.
HAYA NGOJA NIANZE KUKUWEKEA MAMBO KADHAA:
- A waist-to-hip ratio
- Smile
- Less Makeup
- red and black dresses
sijui na malizaje lakini najua kuna kitu kitakufanya ubadilishe mtazamo wako.usizoee kuwa vile vile kila siku bali jifunze kutafuta namna ya kuwa watofauti kila siku na wakuvutia.
XOXO.
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment