GIRLSTALK: UNA GAUNI RANGI NYEUSI? FAHAMU UMUHIMU WAKE
- 05:30
- by
- Unknown
Habari za mchana!
ni jumatatu ya mwisho mwisho ya mwezi November hiyo.
nilikuwa napitia nguo zangu weekend hii na kugundua kati ya nguo ninazozionea ni nguo nyeusi.
kwa kweli nikaona umuhimu wa kuwa na nguo nyeusi hasa gauni.
nguo nyeusi ina sitiri sehemu nyingi na hasa hizi sherehe zetu za kisasa ambazo zinakutaka uvae nguo ya rangi fulani, lakini ukiwa na gauni yako nyeusi wala hupati shida unajinyakulia tu.
basi na wewe pitia nguo zako, kama hauna embu ukipata kihela chako kajinyakulie.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment