BEAUTY: STYLE NZURI ZA NYWELE KWA KAZINI
- 00:55
- by
- Unknown
Habari za Alhamisi!
hii ni throwback eeh cant wait to put mine!
haya kuna kitu kinaboa kama kuamka asubuhi na kufikiria kichwa chako maana kina kuwa na style ambayo may be, unatakiwa uchane.
So huwa ni wastage kwa kweli ya muda lakini all in all kuna styles za nywele ambazo zinaweza kukufanya more comfortable kuweza kupata muda wa kujiandaa na pia ukaonekana beautiful na mtanashati.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment