FASHION: WHAT TO WEAR AT WORK? #stayclassic #bethatladyofyourdream
- 05:53
- by
- Unknown
Habari za jioni!
jumatatu tutaanza campaign ya kuwa classic na perfect lady so kila siku jioni tutakuwa na post ya kuonyesha ideas nini cha kuvaa siku ya kesho kazini.
basi tuanze kwa hivi leo!
XOXO
Fiabright.
Hii inakusaidia kuweza kuchomoa kitu kwenye begi lako au kabati na ukapata kitu cha kuvaa,maana mwingine alishawahi niambia mbona mimi hii sina loh!
nikamjibu hata mimi sina ,lakini nachojaribu kukuonyesha sio nguo tu hata rangi pia jinsi ya kupangilia.
0 comments:
Post a Comment