FASHION: wewe ni mnene kiasi gani? Angalia style za corporate kwa oversize
- 05:17
- by
- Unknown
Habari ya mchana!
nimewahi kuulizwa swali na mtu aliniambia anajikuta anavaa nguo zile, na pia yeye ni mnene so anajikuta nguo chache zinazo mpendeza.
lakini jibu ni kuwa comfortable na kile unachokivaa alafu badilisha muonekano kama ulikuwa unavaa suruali nyeusi na blausi ya pink basi unaweka hata siku nyingine blausi ya kijani!
haya basi kama wewe ni mnene hizi style zitakufaa sana.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment