FASHION: JINSI YA KUFUNGA KIREMBA PART III
- 04:52
- by
- Unknown
Hello Dolls!
kama hukufanikiwa kuona part one and two basi nakuletea hii nyingine!
hii inaitwa wrap,so utaona namna gani ilivyo simple kuliko hata zile nyingine.
haya enjoy.
Hivi ni vipande vya vitenge tena ni robo so unapoenda kushona au unaweza kukata kitambaa kwa siku za jumamosi ukawaka mwenyewe.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment