FASHION BONGO: Friday crush:KANZU KUTOKA KWA DIAMOND & ALLY KIBA
- 01:45
- by
- Unknown
Ijumaa yangu tulivu, yako je?
ijumaa ni siku ambayo kila mtu huipa jina tofauti tofauti lakini kwenye ulimwengu wa fashion huwa ni jeans day, na hii ni kwasababu kwenye ofisi nyingi hasa za serikali hurusuhu watu kuvaa jeans siku ya ijumaa na pia naiona hii karibia dunia nzima hasa Afrika.
na kwa upande wetu Tanzania ni vinyo vinyo.
upande wa wanaume kuna KANZU au kuna NIGERIA STYLE.
here ni our two superstar wamerock ilivyo.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment