FASHION: ANGALIA JINSI YA KUWA NATURALIST
- 04:33
- by
- Unknown
Afternoon Dolls!
huwa napata maswali mengi na hii kitu inaitwa naturalist, hivi inamaana ni nywele tu au ?
haya mwaka 2015 umekuwa ni mwaka wa mafanikio sana kwa wabunifu wa kiafrika hasahasa wa mavazi ya kike.
watu wengi wamekuwa na ule muamko wa kupenda vitu vya kiafrica na kupenda kuwa waafrika ,kwa kweli hii ni speed nzuri sana na inaleta umoja sana kwa bara letu la afrika.
na hii pia imepelekea mpaka mataifa mengine kutamani style mbalimbali za kiafrika ikiwemo nywele.
Haya nisiandike mengi i just wanna show you how this naturalist gals look:
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment