BEAUTY: PART I: ANGALIA JINSI NAVYOFANYA MAKEUP NA VIFAA NAVYOTUMIA :LEO TUNAANZA NA WANJA
- 01:13
- by
- Unknown
Habari za asubuhi!
Jumatatu ni siku nzuri tena huwa inakufanya uwe na nguvu nyingi!
kwa namna ya pekee kuwatakia jumatatu njema na week yenye mafanikio,nimetaka all my readers wawe warembo nimekuwekea vifaa navyotumia kufanyia makeup na wapi utakapo vipata.

Hapa nimepaka wanja wa kawaida kabisa na chini ya layers nikapaka concealer ambayo ni ya pencil inapatikana hata kariakoo tena kwa sh elfu 3000-5000
0 comments:
Post a Comment