GIRLSTALK: UNAWEZA VAA NGUO YA BOYFRIEND WAKO AU MUME WAKO KAMA HIVI?
- 05:29
- by
- Unknown
Afternoon Dolls!
Its girls Time!
Kuona hii picha ya Kanye West na baby mama wake Kim Kardashian West, kumenifanya nijue kutoka kwa wasichana wenzangu je ni vizuri kuvaa nguo ya boyfriend wako au mume wako ?
najua watu wengine watasema ndio kwa haraka lakini hakuna madhara au sitofahamu yeyote ikajitokeza kati yenu?
Haya niwatakie siku njema.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment