Hello,This is me!

FIABRIGHT

An Entrepreneur Lady Professional Business Coaching Professional in marketer

Friday, 9 October 2015

FASHION:PATA MUONEKANO KWA KUIJUE NYWELE NILIYOSHONEA WIKI HII

Habari za asubuhi dolls!
Ijumaa ni siku huwa mimi naiita tulivu Mara zote kwasababu huwa inaambatana na simple looks na simple activities,
I just want to share my hair name kwasababu watu wengi wameniuliza hiyo ni nywele gani.
Haya hii nywele ni ya kawaida kabisa inaitwa DANIELA kutoka angel unaipata popote hata kariakoo na saloon nyingi ni cheap bei ghali sana 12000 so unaweza ukaenda ipata na kushonea.
Haya asubuhi njema warembo wangu.
XOXO
Fiabright.



An entrepreneur lady, business coaching for small business and start up, marketer, creative director and C.E.O at fiabright digital and marketing limited.

0 comments:

Post a Comment

FIA BRIGHT
fideabright10@gmail.com
Dar es salaam, Tanzania

SEND ME A MESSAGE