FASHION: JIFUNZE JINSI YA KUFUNGA KILEMBA
- 23:05
- by
- Unknown
Morning Dolls!
its Tuesday and another crushed day for fashion, leo nimekuwekea aina mbalimbali za jinsi ya kuwrap kilemba. mimi binafsi siku kama za jumamosi na siku za holiday i love it unakuwa different na hasa kama hujaenda saloon.
i met people saying kuwa kufunga kilemba ni ushamba au ubibi loh gal its fashion jaman, okey enjoy.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment