Happy Thursday Dolls!
Cant wait to throwback but kabla embu tupeane tips kwanza,kwa sisi wapenda kupendeza.
Siku Zote kumbuka usiende kulala na makeup yeyote ile usoni mwako.
nawa uso wako kuondoa makeup yote usiku ili ngozi yako iweze kupumua vizuri unapokuwa usingizini.
This pix z one of my great throwback ever.
XOXO,
fIABRIGHT.
BEAUTY TIPS: KUMBUKA USIENDE KULALA NA MAKEUP
Unknown
00:36
kwa namna yeyote kijana wa kiafrika wa leo lazima awe na swag za kizalendo ambazo ni za kiafrika ikiwemo kitenge.
Kitenge wakati tunakuwa tulikuwa tunajua ni nguo za kuvaa watu wazima nikimaanisha wenye watoto lakini kwa sasa, sisi vijana ndio tunaongoza kupenda kuvaa vitenge.
nimekuwekea uweze kupaste na wewe atleast uwe na nguo mbili tatu za vitenge hasa blause.
Inasave sana kwa sisi wafanyakazi.
Haya nikutakie mchana mwema ENJOY.
XOXO
Fiabright.
FASHION: MISHONO MIPYA YA KITENGE
Unknown
03:46