MAKEUP: AINA 5 ZA NUDE LIPSTICK
- 00:26
- by
- Unknown
Habari za asubuhi!
ni ijumaa kwangu ni tulivu maana ina hali ya kimvua kidogo.
wakati nafungua PC yangu asubuhi nimepokea swali kutoka kwenye inbox yangu ya facebook,
na ulizwa kuhusu nude lipstick!
nimemjibu kama yeye alivyotaka kujua lakini nimeona sio mbaya nikashere na nyie aina za nude lipstick.
kila rangi unayoiona kwa haraka unaweza ukasema ndio hii unayoihitaji.
lakini najua hapo unaweza kuelewa nude zipo za aina 5 kama unavyoziona.
haya enjoy choose the best of u.
XOXO
Fiabright.
0 comments:
Post a Comment