Hello,This is me!

FIABRIGHT

An Entrepreneur Lady Professional Business Coaching Professional in marketer

Tuesday, 10 November 2015

FASHION: SEE THE DIFFERENT BETWEEN BRUCE AND CAITLYN JENNER KWENYE HII PICHA!

Hallo Dolls!
its tuesday and here is Catlyn Jenner !
mimi ni fan wa kardashian sanaa na nimeanza kuangalia vipindi vyao tokea nikiwa form six,lakini katika news za kardashian ambazo ziliniacha mdomo wazi ni hii ya Bruce Jenner kuwa Catlyn Jenner!
nilikaa nikawaza aliwaza nini huyu mtu jaman kweli dunian kuna maajabu na tutaendelea kuyaona.
haya na nchi yake ikamsupport na familia juu okey though ukiangalia kwenye ile reality yake inaonyesha kabisa haikuwa kazi rahisi kumsupport though ni show kuna vitu lazima viende scrpit lakini haikuwa rahisi kwa kweli.
haya sasa mwendo wake unaendelea na kapata award jana usiku as a glamour woma of the year.
FASHION:
lets go back to fashion about the look loh for me its okey not good and not bad. 






An entrepreneur lady, business coaching for small business and start up, marketer, creative director and C.E.O at fiabright digital and marketing limited.

0 comments:

Post a Comment

FIA BRIGHT
fideabright10@gmail.com
Dar es salaam, Tanzania

SEND ME A MESSAGE